Kasuku nina njaa niletee chakula!!!!

K.O ni msanii anayekuja vizuri katika tasnia ya mziki, ambaye leo ameachia rasmi kibao chake Kwa jina kasuku' ilifanya na producer Totti, kulingana na uwezo wake ameonyesha juu ya jukwaa la Mamangina siku ya Utalii duniani siku chache zilizopita, pia Kwasasa ameahidi kuachia Ep yake yenye nyimbo tano zikiwemo collabo pia ndani ya kubwa studios na producer Teknixx ambapo pia mmiliki wa studio hiyo Athmani Babaz kamshika mkono, kupitia Kipindi cha mashavmashav na Gates K.O amewashukuru mashabiki na watu wote wanao mpasupport’ kubwa kua hatawaangusha kazi zinakuja~K.O

SHUKRAN Tizo wa leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *