KAMWE SISTAAFU KATIKA MUZIKI

Mzee Ngala gwiji na mwanzilishi wa miziki ya bango , ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya mashujaa afunguka na kueleza nini kipi kilichomfanya kulegeza kamba katika maswala ya utunzi.
Akizungumza ndani ya Kipindi cha Talanta za Pwani kinachokujia kila jumamosi 9.00 a.m- 1 .00 p.m naye DJ Tausi aka Mkanyika Jilo Mzee Ngala atueleza siri ya maisha matamu na marefu ni nini??
Kwa tabasamu Mzee Ngala anamshukuru mwenyezi mungu kwa kumuezesha kutimiza miaka 85 tarehe 14 October, 2020.
Na kibwagizo chake ni kwamba mziki siwachi leo wala kesho mpaka pale mwenyezi mungu atakaposema basiā€¦

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *