IMAGINE WIZKID NA SHILOLE ALAFU TUONGEZE KOFFI

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialshilole amezungumzia suala la yeye kufanya Collabo na @wizkidayo pamoja na @koffiolomide_officiel

@officialshilole ameongeza kuwa ingawa alipata shida sana kuongea na uongozi wa @wizkidayo lakini kwa sababu meneja wa @wizkidayo Sunday anamkubali sana hivyo wameelewana atasafiri kwenda Nigeria kwa ajili ya kurekodi.

Kuhusu Collabo na @koffiolomide_officiel ameeleza kuwa mipango tayari imekamilika na pia atasafiri kwenye Congo kwa ajili ya kurekodi kwenye studio ya Mopao na kushot video kwenye hotel yake huko Kinshasa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *