Hofu ya vifo vya Ndovu Zimbambwe

Maafisa wa huduma kwa wanyamapori  nchini Zimbabwe wanashuku kuwa viini vya maradhi kwa jina la Haemorrhagic Septicaemia ndivyo  vilivyosababisha vifo vya ndovu 30 nchini humo mnamo mwezi Agosti.

Sampuli za viini hivyo zimepelekwa kwenye maabara ili kufanyiwa uchunguzi zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *