Hit maker wa Infinity huenda aka baki jela miaka 7 nchini Uganda.

Msaani wa nchini Nigeria Omah Lay na Ms Tems wanazuiliwa nchini Uganda baadaa ya kukamatwa kwa kukiuka sheria za kuzia kusamba kwa virusi vya Corana nchini Uganda.

Wawili hao walikamatwa na kufikishwa mahakamani baada ya kutumbiza katika tamasha la Afro Beta liloandaliwa katika eneo la Big Brunch mjini Kampala.

Kwa mujibu wa mafisa wa polisi nchini Uganda ni kuwa wandalizi wa tamasha hilo walianda kiko cha chakula cha mchana na jioni kabla ya kuwalika wasaani kutumbiza huku show hio ikajaa watu knyume na sheria za kukabiliana na kusambaa kwa mabukizi wa Corona.

 Aidha wasaani hao walibaki korokoroni baada ya kiongozi wa mashtaka nchini Uganda kuagiza kupitia faili zao kabla ya kesi yao kuendelea.

 Kwa mujibu wa sheria nchini Uganda endapo mtu atapatikana akikiuka sheria za kukabilaiana na mambukizi ya Covid basi huenda akafungwa jela kwa kipindi cha miaka saba.

 Tukio hili pia halijaaka vizuri na mastar wa Nigeria akiwemo Burna Boy Rema na WizKid ambao tayari wameanzisha kampaini kali katika mitandao ya kijamii #FreeOmahLay #FreeMsTems

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *