Herufi ni H NA K Shingoni
Boss wa Konde Gang Music, Harmonize na mpenzi wake Kajala Masanja wamenogesha mahaba kwa kuchorana ‘Tattoo’ zenye herufi ya mwanzo ya majina yao.
Wawili hao wamechora Tattoo hizo kwenye shingo zao ambapo Harmonize ameandika herufi ya jina la Kajala kwa maana ya ‘K’ na mpenzi wake Kajala Masanja naye ameandika herufi ‘H’.