Hamasa kwa wafungwa Shimo La Tewa

Wafungwa katika gereza la shimo la tewa wamepata mafunzo na stakabadhi kuhusiana na haki zao za kisheria hii ikiwa katika kuadhimisha siku ya marafiki duniani.

Wafanyikazi kutoka idara ya mahakama wakiandama na washirika wengine wametembelea gereza hilo na kupata fursa ya kuongea na wafungwa hao.

Wakati huo huo wameelezea mikakati walioweka kuhusiana na kuthibiti kusambaa kwa virusi vya Corona katika magereza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *