“Gengetone haifi labda wasaani wafe” – Ssaru

Msaani wa Gengetone Slyvia Ssaru amesema kuwa mziki wa genegtone hautaisha kama wanavyosema baadhi ya washikadau katika sekta ya mziki nchini.

 Akizungumza kwenye show la kijanja la mashavmashav na Ken1gb na makku kujibu kauli ya Jalang’o kuwa mziki wa gengetone umefifia kwa sasa.

 “sioni Gengetone ikiisha pengine wasaani wakufee na waishe wote gengetone is here to stay” Ssaru

Aidha amesema kuwa hawazui watu kusikia aiana tofauti ya mziki hasa kwa wale wanao dai kuwa gengetone inatumia lugha chafu ya matusi.

“Ukisikiza ngoma za bongo fleva pia wao wanatumia lugha chafu lakini kwa Kiswahili ambacho kunabaadhi ya watu hawaelewi kama wengine wanavyoelewa sheng sioni kama hio ni sababu ya watu kukataa genge” – Ssaru.

 Aidha amefichua kuwa kunamipango ya kufanya colabo na wasaani kutoka pwani huku akisisitiza kwa huenda akachia kazi na masauti na Jovial

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *