Drake apewa baraka zote na Barack Obama

Rapper mkanada Aubrey Drake Graham a.k.a Drake amepewa baraka zote na Rais Wa zamani wa Marekani, Barack Obama katika kucheza Filamu ambayo itasimulia Maisha yake.

Obama Rais wa 44 wa taifa hilo ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na Complex.

Obama alinukulwa…”Nitasema Hivi, Drake anaonekana kuwa tayari kufanya chochote anachotaka.

Nikimaanisha ni mtu ambaye amebarikiwa kipaji. Kama muda ukifika, na akiwa tayari, basi Drake ana mihuri yangu yote ya kumpitisha”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *