Diana Marua aweka wazi idadi ya waunaume ambao aliwahi kudate kabla ya kukutana na bahati

Mke  wa msaani wa Bahati, Diana Marua amesema kuwa aliwahi kuwa katika mahusiano na wanaume kwa lengo ya kutenegeneza hela.

Diana amekiri kuwa aliwahi kuwa na wanaume ambao wakukuwa wakimtekelezea majukumu mbali mbali kabla kuanza mahusiano na Bahati.

“Nilikuwa katika umri wa miaka 20 nilkuwa nawadate wanaume kadhaa kulikuwa na wakulipa rent kulikuwa na washopping kulikuwa na kuenda out na kulikuwa na wa kununua nguo hata niliwahi kuwa katika mahusiano na mwanamume aliekuwa ameoa” alisema Diana.

Aidha amesema kuwa hafurahi wala kujivunia maisha hayo aliokuwa anaishi wakati huondiposa akamua kuweka wazi kwa mashabiki zake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *