Da Baby atangaza nia

 Rapper@DaBaby wa nchini Marekani ametangaza kuachana na muziki kama msanii miaka mitano ijayo.

#DaBaby alitangaza nia yake hiyo katika Mahojiano yake hivi karibuni na Mtandao wa XXL wa Nchini Marekani.

Da Baby alitangaza nia yake hiyo na kueleza kuwa atautumia muda wake mwingi kuimarisha lebo yake.

Billion Dollar Baby Entertainment ni lebo iliyoanzishwa na Rapper huyo ambayo tayari imeshaanza kusaini wasanii watakaofanya kazi chini yake.

shukran @PresenterDMike.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *