Corona Uingereza

Uingereza imetangaza  zaidi  ya  visa alfu 10 vya maambukizi ya  virusi vya Corona  ya kila siku  kwa mara ya kwanza tangu  ianze  kupima maambukizi ya virusi hivyo. 

Visa  vipya 12,872  vilithibitishwa  huku  watu 49 wakiaga dunia  katika muda wa siku 28 baada ya kugunduliwa kuwa na  virusi hivyo.

Hata hivyo,  serikali imesema hitilafu ilitokea na kusababisha  baadhi ya visa kukosa  kunakiliwa huku vingine vikikosa kujumushwa katika takwimu za hapo jana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *