Skip to content
Friday, January 22, 2021
Latest:
  • Wadau Wachache Wachukua Fedha Za Kufufua Utalii Pwani.
  • Wavuvi Wanyimwa Wanawake Wa Kuoa
  • Magoha Azuru Pwani
  • Uingereza Yapiga Marufuku Raia Wa Tanzania Na Congo
  • Muungano wa Ulaya wagadhabishwa na Uganda
Pwani FM

Pwani FM

Tafrija Kipwani

  • Habari
  • Burudani
  • Michezo
  • Kimataifa

TOP STORIES

Business FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Wadau Wachache Wachukua Fedha Za Kufufua Utalii Pwani.

22 January 2021 Sylvester Chibero 0 Comments Pwani, Utalii

Shirika la kufadhili utalii linasema  ni wadau wachache wa sekta ya utalii waliojitokeza kuchukua fedha za kufufua utalii katika eneo

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Wavuvi Wanyimwa Wanawake Wa Kuoa

22 January 2021 Sylvester Chibero 0 Comments Malindi, Wavuvi

Baadhi ya wavuvi mjini Malindi Kaunti ya Kilifi sasa wameingiwa na hofu kubwa wakidai kukosa wanawake wa kuoa kutokana na

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Magoha Azuru Pwani

22 January 2021 Sylvester Chibero 0 Comments Magoha, Pwani

Waziri wa elimu prof.George Magoha anatarajiwa kuzuru kaunti mbili za pwani leo asubuhi ili kutathmin hali ya masomo shuleni sawia

Read more
FEATURED Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

Uingereza Yapiga Marufuku Raia Wa Tanzania Na Congo

22 January 2021 Sylvester Chibero 0 Comments Congo, Tanzania

Uingereza yapiga marufuku abiria kutoka Tanzania na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuzuia maambukizi ya aina mpya ya virusi vya

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

FIDA Yahamasisha Wanawake Kwale

21 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments FIDA, Kwale

Shirikisho la mawakili wanawake limeanzisha uhamasisho wa uchimbaji madini  kwa wanawake na wazee katika kaunti ya Kwale. Akizungumza katika kongamano

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Wanafunzi 946 Ni Wajawazito Kilifi

21 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments Kilifi, Wanafunzi

Takriban wanafunzi 946 katika Kaunti ya Kilifi ni wajawazito. Takwimu za Kamishna wa Kaunti hiyo Kutswa Olaka zinaonesha kwamba 640

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Kero La Ngamia Voi

21 January 202121 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments Ngamia, Voi

Maafisa wa usalama mjini Voi Kaunti ya Taita Taveta wameanzisha oparesheni ya kuwafurusha zaidi ya Ngamia 60 waliyoingizwa katika shamba

Read more
FEATURED Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

Biden Achukua Hatamu Ya Urais Marekani

21 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments Biden, Kamala

Rais wa Marekani Joe Biden amewaomba wamerekani kuungana na kulijenga taifa hilo ili kulifanya kuwa lenya udhabiti zaidi. Biden ameyasema

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Yesu Amenionya Nisiwapeleke Wanangu Shuleni Asema Mwanamke Huko Taita Taveta

20 January 202120 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments Mama, Taita Taveta, Yesu

Maafisa wa usalama eneo la Wundanyi kaunti ya Taita Taveta wanamzuilia mama mmoja wa umri wa makamo kwa  kukosa kuwapeleka

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Wakaazi Wahangaishwa Na Viboko Sabaki

20 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments Sabaki, Viboko

Baadhi ya wakazi wa Sabaki eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wanalalamika kutolipwa fidia licha ya kushambuliwa na viboko

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Follow
@pwanifm

About Us

Pwani FM ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

Pwani FM ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • KBC Radio Taifa
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates