Skip to content
Saturday, February 27, 2021
Latest:
  • Rais Joe Biden amepongeza uongozi wa Kenya katika Pembe la Afrika na kujitolea kupambana na ugaidi.
  • Gavana Joho Ajitetea Kuhusu Uhusiano Wake Na Gavana Kingi.
  • Kifo cha Maalim Seif ni mwamko wa vita dhidi ya corona Tanzania
  • BBI:Uhuru aongoza viongozi wengine kupongeza MCAs
  • Oguna Awataka Wazee Waliokosa Pesa Za Inua Jamii Kuwasilisha Malalamishi Yao.
Pwani FM

Pwani FM

Tafrija Kipwani

  • Habari
  • Burudani
  • Michezo
  • Kimataifa

Latest

FEATURED Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

Rais Joe Biden amepongeza uongozi wa Kenya katika Pembe la Afrika na kujitolea kupambana na ugaidi.

26 February 2021 Sylvester Chibero 0 Comments America, Kenya

Rais wa Marekani Joe Biden Ijumaa alimpigia simu Rais Uhuru Kenyatta kwa mazungumzo juu ya umuhimu wa uhusiano thabiti kati

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Gavana Joho Ajitetea Kuhusu Uhusiano Wake Na Gavana Kingi.

26 February 2021 Sylvester Chibero 0 Comments joho, kingi

Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho amepinga madai kwamba uhusiano baina yake na Gavana wa Kilifi Amason Kingi umeanza kusambaratika

Read more
FEATURED Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

Kifo cha Maalim Seif ni mwamko wa vita dhidi ya corona Tanzania

26 February 202126 February 2021 Sylvester Chibero 0 Comments Maafa, Tanzania

Katika historia ya Tanzania, hakuna mwezi ambao taifa hilo limepoteza watu mashuhuri na wenye mchango tofauti ndani na nje ya

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

BBI:Uhuru aongoza viongozi wengine kupongeza MCAs

26 February 2021 Sylvester Chibero 0 Comments BBI, Uhuru

Rais Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi aliongoza viongozi wengine wanaounga mkono mchakato wa BBI kupongeza  mabunge ya kaunti kwa kuidhinisha

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Oguna Awataka Wazee Waliokosa Pesa Za Inua Jamii Kuwasilisha Malalamishi Yao.

26 February 2021 Sylvester Chibero 0 Comments Oguna, Wazee

Msemaji wa serikali Kanali mstaafu Cyrus Oguna amewataka wazee kaunti ya Kilifi waliokosa pesa za mpango wa inua jamii kuwasilisha

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

NLC Kushughulikia Utata Wa Ardhi Ya Mbela Diani.

26 February 2021 Sylvester Chibero 0 Comments Diani, Nlc

Tume ya kitaifa ya ardhi (NLC) inalenga kuanzisha mchakato wa kutatua mzozo wa ardhi ya Mbela baina ya wakaazi wa Diani na

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Jamaa Anusurika Kifo Changamwe

25 February 202125 February 2021 Clavery Khonde 0 Comments Ajali, Changamwe

Dereva mmoja wa gari dogo amenusurika kifo baada ya gari lake kuangukiwa na kasha lililokuwa limebeba na trela eneo la

Read more
FEATURED Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

Makamu wa Rais wa Zimbabwe Mohadi Ajitetea Kuhusu Kashfa Na Ngono

25 February 202125 February 2021 Clavery Khonde 0 Comments Kembo, Ngono

Makamu wa Rais wa Zimbabwe Kembo Mohadi amejitetea kuhusu madai ya kashfa ya kingono inayomkabili kupitia vyombo vya habari. Amesema

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Korona Imeathiri Mapato Kwale

25 February 2021 Clavery Khonde 0 Comments Kwale, Sebe

Katibu  wa fedha katika kaunti ya Kwale Bakari Sebe amesema kuwa ushuru wa kaunti hiyo umepungua kwa kiwango kikubwa kutokana

Read more
FEATURED Habari Latest TOP STORIES 

Watoto Wahamasishwa Kwale

25 February 2021 Clavery Khonde 0 Comments Kwale, Trace

Shirika la Trace Kenya limezindua mradi wa kuwahamasisha watoto dhidi ya ngono biashara katika kaunti ya Kwale. Mradi huo unaolenga

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Follow
@pwanifm

About Us

Pwani FM ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

Pwani FM ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • KBC Radio Taifa
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates