Skip to content
Friday, January 22, 2021
Latest:
  • Wadau Wachache Wachukua Fedha Za Kufufua Utalii Pwani.
  • Wavuvi Wanyimwa Wanawake Wa Kuoa
  • Magoha Azuru Pwani
  • Uingereza Yapiga Marufuku Raia Wa Tanzania Na Congo
  • Muungano wa Ulaya wagadhabishwa na Uganda
Pwani FM

Pwani FM

Tafrija Kipwani

  • Habari
  • Burudani
  • Michezo
  • Kimataifa

Kimataifa

FEATURED Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

Uingereza Yapiga Marufuku Raia Wa Tanzania Na Congo

22 January 2021 Sylvester Chibero 0 Comments Congo, Tanzania

Uingereza yapiga marufuku abiria kutoka Tanzania na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuzuia maambukizi ya aina mpya ya virusi vya

Read more
Kimataifa 

Muungano wa Ulaya wagadhabishwa na Uganda

21 January 2021 Tima Kisasa 0 Comments uganda

Muungano wa Ulaya umeghadhabishwa na kuendelea kuhangaishwa kwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati nchini Uganda baada ya uchaguzi mkuu wa

Read more
FEATURED Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

Biden Achukua Hatamu Ya Urais Marekani

21 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments Biden, Kamala

Rais wa Marekani Joe Biden amewaomba wamerekani kuungana na kulijenga taifa hilo ili kulifanya kuwa lenya udhabiti zaidi. Biden ameyasema

Read more
FEATURED Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

Jose Chameleone kwenye kinyang’anyiro Cha Umeya Kampala

20 January 2021 Sylvester Chibero 0 Comments Chameleone, uganda

Nyota wa muziki wa Hip hop nchini Uganda Jose Chameleone ni miongoni mwa wagombea wa nafasi ya meya wa jiji

Read more
FEATURED Habari Kimataifa TOP STORIES 

Tanzania Yawekewa Vikwazo Na Marekani.

20 January 2021 Sylvester Chibero 0 Comments Tanzania

Marekani imetangaza kuwawekea vikwazo vya kuingia nchini humo maafisa wa Tanzania ambao nchi hiyo inawatuhumu kwa kile wanachokitaja kuwa kuharibu

Read more
FEATURED Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

Maandamano Yafanyika Katika Baadhi Ya Majimbo Marekani

18 January 2021 Sylvester Chibero 0 Comments America, Maandamano

Vikundi vidogo vya waandamanaji – baadhi yao wakiwa na silaha – wamekusanyika nje ya majengo ya serikali ya Marekani, ambapo

Read more
Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

Kura za Hesabiwa Uganda

15 January 202115 January 2021 Sylvester Chibero 0 Comments

Shughuli ya kuesabu kura inaendelea nchini Uganda baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika hapo jana mwendo wa saa kumi

Read more
FEATURED Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

Uganda Yaamua

14 January 202114 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments uchaguzi, uganda

Raia wa Uganda wanapoga kura hivi leo kumchagua Rais mpya kati ya Rais aliyehudumu kwa muda mrefu Yoweri Museveni na

Read more
FEATURED Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

Mawaziri Wawili Wafariki Kutokana Na Korona Malawi

13 January 202113 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments Malawi, Mawaziri

Mawaziri wawili nchini Malawi wameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19. Waziri wa uchukuzi, Sidik Mia na mwenzake wa serikali za

Read more
FEATURED Habari Kimataifa Latest TOP STORIES 

FBI Yatoa Onyo Kabla Yakuapishwa Kwa Biden

12 January 202112 January 2021 Clavery Khonde 0 Comments Biden, FBI

Picha kwa hisani. Shirika la upelelezi la Marekani FBI, limeonya kuhusu uwezekano wa maandaamnao yenye silaha kufanywa kote nchini siku

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Follow
@pwanifm

About Us

Pwani FM ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

Pwani FM ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • KBC Radio Taifa
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates