Burnaboy kwenye list ya Joe Biden
Burnaboy ndio msaani wa pekee kutoka barani afrika ambapo wimbo wake utachezwa katika shehere za kuwapishwa kwa Rais wa Marekani Joe Biden na naibu wake Kamala Harris
waasani wengine ni SZA, Beyoncé, Kendrick Lamar, Stevie Wonder, Mary J Blige, Marvin Gaye, na Bob Marley
playlist hio inajumuisha ngoma 46