Bandari FC kesho ugenini dhidi ya Mathare United
Club ya Badari kesho jioni mwendo wa saa tisa jioni watashuka ugani Kasarani kuvaana na Mathare United katika mechi za ligi ya FKPL.
mapema leo Bandari chini ya Ukufunzi wa Cassa Mbungo wameimarisha mazoezi hao leo katika kambi yao mjini Nairobi katika uwanja wa Kamkunji.
Bandari inashikilia nafasi ya 6 katika musimamo wa Jedwali ya Ligi wakiwa na jumla ya alama 12 baada ya kucheza mechi 8 akiwa amepata ushindi katika mechi 3 sare 3 na kupoteza mechi 2.