Skip to content
Friday, January 22, 2021
Latest:
  • Wadau Wachache Wachukua Fedha Za Kufufua Utalii Pwani.
  • Wavuvi Wanyimwa Wanawake Wa Kuoa
  • Magoha Azuru Pwani
  • Uingereza Yapiga Marufuku Raia Wa Tanzania Na Congo
  • Muungano wa Ulaya wagadhabishwa na Uganda
Pwani FM

Pwani FM

Tafrija Kipwani

  • Habari
  • Burudani
  • Michezo
  • Kimataifa

Author: Maximillah Welukhu

Habari Latest 

IEBC Tayari kwa Uchaguzi Mdogo Wundanyi Mbale

13 November 202013 November 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments IEBC, Wundanyi Mbale

Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC katika kaunti ya Taita Taveta yasema iko tayari kufanya uchaguzi mdogo wa wodi

Read more
Habari Latest 

Wabunge Pwani Wataka Kubuniwa kwa Sheria ya Utekelezaji wa BBI

13 November 202013 November 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments BBI

Kundi la wabunge kutoka eneo la pwani wametaka kubuniwa kwa mpangilio wa sheria ili kutoa mwelekeo wa utekelezaji wa ripoti

Read more
Habari Latest 

Uchaguzi Marekani wa Mwaka huu ulikuwa Salama Wasema Maafisa wa Uchaguzi

13 November 202013 November 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments Biden, Trump

Maafisa wa uchaguzi nchini Marekani wamesema kuwa uchaguzi wa mwaka huu wa urais nchini humo ndio uliokuwa salama zaidi katika

Read more
Habari 

Kampuni ya Titanium Base Kwale Yaanzisha Miradi ya Shilingi bilioni sita

6 November 20206 November 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments Miradi, Titanium Kwale

Kampuni ya madini ya Australia ya Base Titanium imeelezea miradi yake muhimu ya miundo msingi ambayo imepanga kuikabidhi serikali mara

Read more
Habari 

Wahudumu wa Afya Mombasa kuendelea na Mgomo licha ya Mkurupuko wa Covid 19

6 November 20206 November 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments Wahudumu wa Afya

Maafisa wa afya wanaohudumu katika mashirika mbali mbali ya serikali   kaunti ya Mombasa wanasema bado wanaendelea na mgomo wao hadi

Read more
Kimataifa Latest 

Polisi Philadelphia Wakamata Mwanamume Mmoja aliyejaribu Kuvamia Kituo cha Pennsylvania

6 November 20206 November 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments Biden, Trump

Polisi huko Philadelphia inachunguza njama ya kuvamia kituo kikuu cha kuhesabu kura cha Pennsylvania, ambako kura  za uchaguzi wa urais

Read more
Habari Latest 

Taharuki Yatanda katika Hospitali ya Rufaa ya Voi baada ya baadhi ya Madaktari na Wahudumu Kupatikana na Korona

6 November 20206 November 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments Korona

Maambukisi ya korona  inaendelea kuathiri huduma katika taasisi mbalimbali kaunti ya Taita Taveta baada ya madaktari na wahudumu wa afya

Read more
Michezo 

Ronaldinho Aambukizwa na Covid 19

26 October 202026 October 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments Ronaldinho

Aliyekuwa mchezaji hodari nchini Brazil Ronaldinho ametangaza kuwa ameambukizwa virusi vya corona lakini hana dalili zozote za ugonjwa huo. Mchezaji

Read more
Kimataifa 

Asilimia 78 ya Raia wa Chile Wapiga Kura ya Kuunga Mkono Marekebisho ya Katiba

26 October 202026 October 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments

Raia wa Chile wamepiga kura kuunga mkono kurekebishwa kwa katiba ya nchi hiyo iliyokuwa imepitishwa wakati wa enzi ya utawala

Read more
Habari 

Mbogo Asema Atamuunga Mkono Mgombea Huru Feisal

26 October 202026 October 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments

Mbunge wa Kisauni Ali Mbogo asema kwamba anaunga mkono mgombea huru wa uchaguzi mdogo Feisal Bider licha ya chama chake

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Follow
@pwanifm

About Us

Pwani FM ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

Pwani FM ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • KBC Radio Taifa
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates