Skip to content
Friday, January 22, 2021
Latest:
  • Wadau Wachache Wachukua Fedha Za Kufufua Utalii Pwani.
  • Wavuvi Wanyimwa Wanawake Wa Kuoa
  • Magoha Azuru Pwani
  • Uingereza Yapiga Marufuku Raia Wa Tanzania Na Congo
  • Muungano wa Ulaya wagadhabishwa na Uganda
Pwani FM

Pwani FM

Tafrija Kipwani

  • Habari
  • Burudani
  • Michezo
  • Kimataifa

Author: Joshua Chome

Habari Latest 

Shirika la UNICEF laikabili wizara ya elimu barakoa laki saba kwa ufunguzi wa shule

23 December 202023 December 2020 Joshua Chome 0 Comments Barakoa, na, UNICEF

Shirika la UNICEF lilitoa msaada wa barakoa laki saba kwa wizara ya elimu ili kugawa kwa shule na kuwezesha kufunguliwa

Read more
Habari Latest 

Gavana Samboja awataka maafisa wa usalama kuwajibika vilivyo wakati huu wa sherehe na Corona

23 December 202023 December 2020 Joshua Chome 0 Comments na, Polisi, Samboja

Gavana wa kaunti ya Taita Taveta Granton Samboja ametoa wito kwa maafisa wote wa usalama katika maeneo ya  Wundanyi, Taveta, Voi na  Mwatate

Read more
Habari Latest 

Usafiri watatizika Kilifi kutokana na masharti ya Corona kwa matatu

23 December 2020 Joshua Chome 0 Comments Kilifi, usafiri, watatizika

Shuhuli za Usafiri wa umma haswa katika sekta ya matatu katika kaunti ya kilifi zinaendelea kutatizika baada ya matatu kukosa

Read more
Habari Latest 

jivinjarini na pia mzingatie elimu Januari asema muwakilishi wa wadi ya Jilore

23 December 202023 December 2020 Joshua Chome 0 Comments Elimu, na, Sherehe

Wazazi wameonywa dhidi ya kutumia pesa zote kwenye maandalizi ya sherehe aa Krismasi na mwaka mpya na badala yake kukumbatia

Read more
Habari Latest 

Magari ya umma yatakayokiuka sheria za trafiki kukamatwa

22 December 202022 December 2020 Joshua Chome 0 Comments barabarani, Matatu, msako, na

Magari ya uchukuzi wa umma yanayokiuka sheria za trafiki yatakamatwa na madereva wake kufunguliwa mashtaka ya uvunjaji wa udhibiti kasi

Read more
Habari Latest 

Wauguzi Mombasa wasema hawarudi kazini hadi matakwa yao yatakapotekelezwa

22 December 202022 December 2020 Joshua Chome 0 Comments mgomo, Mombasa, wauguzi

Wahudumu wa afya hapa Mombasa waliandamana hadi katika ofisi za gavana wakitaka kushughulikiwa kwa lalama zao wakati mgomo wao unapoingia

Read more
Habari Latest 

Madereva wa matatu Kilifi watakiwa kuonyesha uzingatifu wa masharti ya kupambana na Corona kabla ya kuruhusiwa barabarani

21 December 2020 Joshua Chome 0 Comments corona, Kilifi, Matatu, na

Madereva wa usafiri wa umma haswa matatu katika kaunti ya kilifi wamelazimika kuchukua vyeti vipya vya kufuata maagizo ya wizara

Read more
Habari Latest 

Madaktari na wauguzi wadinda kurejea kazini

21 December 202021 December 2020 Joshua Chome 0 Comments Madaktari, mgomo

Madaktari na wauguzi wanaogoma wasisitiza kuwa hawatarudi kazini hadi matakwa yao yatakapotekelezwa. Wakizungumza na waandashi wa habari maafisa wa muungano

Read more
Habari Latest 

Rais Uhuru awaonya washirika wa maendeleo nchini dhidi ya kuishurutisha Kenya katika mipango yake

4 December 2020 Joshua Chome 0 Comments awaonya, Maendeleo, rais, wa, washirika

Rais Uhuru Kenyatta aliwapuuzilia mbali washirika wa maendeleo ambao wanataka kuishurutisha nchi  hii kuhusiana na mipango yake. Rais alisema kwamba Kenya iko

Read more
Habari Latest 

Wanaoiba dawa Taita Taveta chuma chao kimotoni asema gavana Samboja

4 December 20204 December 2020 Joshua Chome 0 Comments awaonya, dawa, gavana, Samboja, wa, wezi

Gavana wa kaunti ya Taita Taveta amewaonya baadhi ya wahudumu wa afya wanaodaiwa kuiba dawa sawa na kuitisha hongo ili kuwahudumia wakaazi

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Follow
@pwanifm

About Us

Pwani FM ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

Pwani FM ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • KBC Radio Taifa
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates