Skip to content
Saturday, February 27, 2021
Latest:
  • Rais Joe Biden amepongeza uongozi wa Kenya katika Pembe la Afrika na kujitolea kupambana na ugaidi.
  • Gavana Joho Ajitetea Kuhusu Uhusiano Wake Na Gavana Kingi.
  • Kifo cha Maalim Seif ni mwamko wa vita dhidi ya corona Tanzania
  • BBI:Uhuru aongoza viongozi wengine kupongeza MCAs
  • Oguna Awataka Wazee Waliokosa Pesa Za Inua Jamii Kuwasilisha Malalamishi Yao.
Pwani FM

Pwani FM

Tafrija Kipwani

  • Habari
  • Burudani
  • Michezo
  • Kimataifa

Author: Jared Ombui

Michezo 

Aprot na Chespol kuongoza mbio za nyika za Magereza Jumamosi

15 January 2021 Jared Ombui 0 Comments Afrika Alice Aprot, Kenya Prisons, Magereza, Mbio, riadha, Ruiru

Bingwa wa zamani wa mbio za nyika barani Afrika Alice Aprot ni miongoni mwa majina tajika yatakayojitokeza kutimka mbio za

Read more
Habari Latest TOP STORIES 

Serikali yasimamisha ujenzi wa zahanati kwa shamba ya shule huko Malindi

12 August 202012 August 2020 Jared Ombui 0 Comments

Naibu wa kamishna wa kaunti ndogo ya Malindi Thuo wa Ngugi amesimamisha mradi wa ujenzi wa zahanati moja unaofadhiliwa na

Read more
Habari 

Soko ya fulusi

12 August 202012 August 2020 Jared Ombui 0 Comments

Dola moja ya Marekani inabadilishwa kwa shilingi-108 na senti- 33 za Kenya, Pauni ya Uingereza kwa shilingi-141 na senti 98

Read more
Michezo 

Tottenham Hotspur yakamilisha kumsajili Pierre-Emile Hojbjerg kutoka Southampton

12 August 2020 Jared Ombui 0 Comments Pierre-Emile Hojbjerg

Timu ya Tottenham Hotspur imekamilisha usajili wa mchezaji Pierre-Emile Hojbjerg kutoka Southampton. Kiungo huyo wa kimataifa wa Denmark ametia saini

Read more
Michezo 

Juventus tayari kuipa Arsenal wachezaji watatu

12 August 202012 August 2020 Jared Ombui 0 Comments Alexender Lacazatte, Juventus

Club ya Juventus nchini Italia ipo tayari kuipa Arsenal wachezaji watatu kupata sahihi ya mshambulizi Alexender Lacazatte. Juventus wako sokoni

Read more
Michezo 

Valencia yawaweka wachezaji wake wote sokoni

12 August 202012 August 2020 Jared Ombui 0 Comments

Club ya Valencia nchini Uhispania imewaweka wachezaji wake wote sokoni ili kukabilina na makali ya kiuchumi yaliyosababishwa na janga la

Read more
Kimataifa 

Tanzania yawarai raia wanaoishi karibu na mpaka wa Msumbiji kuhama ikijiandaa kupambana na wanamgambo

12 August 202012 August 2020 Jared Ombui 0 Comments

Jeshi la Tanzania limewataka raia wanaoishi katika maeneo ya pori karibu na mpaka wa Msumbuji kuhama eneo hilo wakati wakijiandaa

Read more
Kimataifa 

Watu 81 wauwa Sudan Kusini katika shughuli ya kuwapokonya raia silaha

11 August 202012 August 2020 Jared Ombui 0 Comments

Serikali ya Sudan Kusini imesema takribani watu 81 waliuawa kwenye makabiliano baina ya raia wa taifa hilo waliojihami na wanajeshi

Read more
Uncategorised 

Presenters

7 August 20207 August 2020 Jared Ombui 0 Comments

Dalila AthmanDalila ni mhariri, muandishi wa matangazo ya biashara na mtangazaji wa breakfastshow. Ashawahi kufanya kazi na idhaa ya Deutche

Read more
FEATURED Habari TOP STORIES 

Baya asema viongozi kadhaa wamesahau masilahi ya wananchi

6 August 20206 August 2020 Jared Ombui 0 Comments

Mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya amesema kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa na tamaa ya uongozi na kusahau maslahi ya

Read more
  • ← Previous

Skiza Sasa

Your browser does not support the audio element.

Follow
@pwanifm

About Us

Pwani FM ni kituo cha radio kinachoheshimika zaidi nchini Kenya na ulimwenguni. Kinamilikiwa na Shirika la Utangazaji la Kenya yaani Kenya Broadcasting Corporation (KBC).

Pwani FM ina watangazaji mahiri na wenye sifa kuu kwa utangazaji wa habari za kuaminika, muziki wa kuburudisha na vipindi vizuri vya afya, ukulima, biashara na kadhalika.

Other FM Stations

  • KBC English Service
  • KBC Radio Taifa
  • Nosim FM
  • Ingo FM
  • Minto FM

Other FM Stations

  • Coro FM
  • Iftiin FM
  • Mayienga FM
  • Kitwek FM
  • Mwago FM

Other Links

  • Listen Live
  • About Us
  • Contact Us
  • Presenters
  • Advertising Rates