“Arteta ni mwongo na hana heshima”

Agenti wa kiungo arsenal Mesut Ozil, Erkut Sogut amesma kuwa mkufunzu wa arsenal Mikle Arteta sio mwaminifu na hana heshimu na alidanganya sababu iliopelekea yeye kumwacha Ozil je ya kikosi cha Arsenal.

kumekuwepo na mjadala kali mtandaoni baada ya Ozil kutemwa nje ya kikosi cha Arsenal hatua iliopelekea mchezaji huyo kueleza bayana kusikitishwa na hatua hio.

Aidha kauli hio ilipelekea mkufunzi Mikel Arteta kuleza kuwa alimwacha njee Ozil baada yakumpa nafasi kama wachezaji wengine kumarisha mchezo wake, Ozil hajaichezea Arsenal toka mwezi machi.

Agenti wake naye anadai Arteta ndiye anayefaa kulaumiwa kwa kutokuwa wazi wa Ozil wakati alipojiunga naarsenal kama mkufunzi licha ya kuwa amwahi kucheza naye katik a club hio kabla ya uteuzi wake.

Sogut amemshambulia Arteta na kudai kuwa wakati wake hakuwahi kuanza mechi yoyote ugani emirates musimu wake wa mwisho nchini ya mufunzi wenger.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *