Agizo la rais Uhuru Kenyatta kwa NCPB

Rais Uhuru Kenyatta ameagiza halmashauri ya nafaka na mazao nchini-NCPB kuchunguza upya gharama ya kukausha mahindi.

Ameagiza halmashauri hiyo kupunguza gharama  hiyo kutoka kiwango cha sasa cha shilingi 40 hadi shilingi 20.

Rais Kenyatta alisema  punguzo hilo la aslimia 50 litawawezesha wakulima kukausha na kuuza  mahindi yao kwa gharama nafuu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *