Adasa Kufanya Ngoma Na Khaligraph Jones

Siku chache tu baada ya rapa mkali kutoka humu nchini Khaligraph Jones kummwagia sifa  msanii wa kike anayefanya vizuri kwa sasa Adasa nyota  huyo na rapper tajika Africa amethibitisha kuingia studio na msanii huyu anaekua kwa kasi.

Msanii Adasa.

Kulingana na usimamizi wa msanii Adasa niku nikweli tayari Papa Jones ashatumiwa nyimbo ambayo anatakiwa kuweka verse yake na tayari majibu ya Khaligraph Jones yameashiria kuwa kazi hio itafanyika na hivi karibuni ngoma itaachiliwa.

Kwa upande wake Adasa aliweka video fupi ikimuonyesha Khaligraph akifurahia mziki wake wa tunaenda.

Msanii Adasa.

Nikweli Adasa na Jones wanatarajiwa kuachilia ngoma hivi karibuni. Amethibitisha meneja wa msanii huyo.

Wasanii, Adasa na Khaligraph Jones.

Wakati huo huo Adasa anatarajiwa kuendeleza harakati zake za mziki kwa kufanya collabo na Mejja lakini uongozi wake umesema hiyo itatoka baada yay eye na Khaligraph kuhitimisha project yao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *