Ozil atua Uturuki kwa mbwembwe
Ozil atua Uturuki kwa mbwembwe
Nyota wa Ujerumani Mesut Ozil amefanikisha uhamisho wake toka club ya arsenal na kujiunga na club ya Fenerbahce na kukamilisha maisha yake ugani ugani Emirates kwa kipindi cha Miaka saba.
Ozil ahajachezeka soka yoyote kwa kipindi cha muda wa miezi 10 chini ya mkufunzi Mikel Arteta.
Japo uhamisho wake baado haujawekwa hadharani club ya hio ya Uturuki kiungo huyo ameonekana katika uwanja wa ndege nchini Uturuki akiwa pamoja na familai yake na bendera ya club ya Fenerbahce.
Ugani Emirates Ozil alishinda FA Cup (3): 2013-14, 2014-15, 2016-17 Community Shield: 2015