United kuwakosa wachezaji 11 siku ya jumamosi dhidi ya Crystal Palace

United kuwakosa wachezaji 11 siku ya jumamosi dhidi ya Crystal Palace

Manchester united huenda wakawakosa wachezaji 11 katika mechi yao ya kwanza ya kufungua musimu wikendi hii wtakapo wakaribisha Crystal palace Ugani Oldtraford.

Kiungo Paul Pogba, Bruno Fernandes, Nemanja Matic, Fred, Juna Mata, Eric Bailly,Aaron Wan Bissaka na Greeanwood wote wamereja mazoezini siku ya jumatatu.

Hatua hii huenda ikamfanya mkufunzi Ole Gunner kubadilisha kikosi chake katika mechi mabapo huenda akanza sajili mpya Doony Van De Beek, Jesse Lingard na McTominay katika safu yakati.

Huku Rashaford Martial na James wakianza katika safu ya mashambulizi.

United amechza mechimmoja ya kirafiki dhidi ya Aston Villa huku mashabiki wakiishinikiza kufanyika kwa sajili Zaidi hasa katika safu ya mabeki na washumbulizi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *