Serikali yatakiwa kuzuia mikusanyiko ya kisiasa la sivyo,shule zifunguliwe.

Mbunge wa changamwe Omar Mwinyi ni wa hivi punde kuwarai serikali kukomesha siasa wakati huu ambapo taifa linakumbwa na changamoto mnyingi kielimu na kiuchumi.

Akizungumza katika eneo bunge lake la Changamwe,Mwinyi amesema njia pekee ya kuinua uchumi wa nchi ni kufunguliwa kwa shule,na kurejesha ajira kwa walimu ambao kwa sasa wanapitia hali ngumu ya maisha.

Mbunge huyo amegadhabishwa na hali ya ksiasa humu nchini,akisema iwapo rais hatasitisha siasa kwa wanansiasa ni vyema afungue shule na uchumi kwa ujumla.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *