Ruto atakiwa kutowajibu wakosoaji wake.

Viongozi wanaomuunga mkono naibu wa rais dkt.William Ruto katika eneo la pwani wamemtaka kutotishwa na matamshi ya baadhi ya viongozi wanaomtaka kusitisha huduma yake ya kumtolea mungu.

Wakiongozwa na mbunge wa malindi Aisha Jumwa,wabunge hao wamesema ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakipinga huduma ya mungu.

Jumwa amemrai naibu wa rais kuendelea kuwahudumia wakenya bila ya wasikiza wanaopinga huduma yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *