Mombasa na Nairobi ya repoti visa zaidi za Corona

Wizara ya afya imesema kuwa visa vya maambukizi ya virusi vya corona vinazidi kupungua humu nchini lakini kaunti za nairibi na mombasa maambukizi yameanza kuongezeka tena swala ambalo linaitaji kushughulikiwa kwa haraka.

Akiwahutubia wanahabari, katibu mwandamizi katika wizara ya afya  dkt. Mercy Mwangangi amesema kuwa idadi ya wagonjwa waliolazwa na wale wanaotibiwa nyumbani wanapona kila uchao.

Dkt. Mwangangi ametangaza kuwa watu 92 walipatikana kuwa na virusi vya corona katika muda wa saa 24 zilizopita baada ya kupimwa kwa sampuli 2,985 na kuzidisha idadi ya watu walioambukizwa virusi hivyo nchini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *