MAAMBUKIZI YA CORONA SAA 24

Kenya imenakili visa vipya vya maambukizi ya korona 544 ndani ya saa 24 zilizopita kutoka kwa sampuli 5,259.

Akitoa taarifa ya hali ilivyo katika maambukizi ya korona nchini,waziri wa afya Mutahi Kagwe amesema visa 19,125 vimenakiliwa tangu kunakiliwa kwa kisa cha kwanza cha korona humu nchini.

Kagwe pia ametangaza kupona kwa wagonjwa 113 kwa kipindi cha saa 24 zilizopita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *