Lamine Diack afungwa jela Miaka miwili

Lamine Diack afungwa jela Miaka miwili

Aliyekuwa raisa wa IAAF kati ya mwaka wa 1999-2015 Lamine Diack amefungwa jela kwa kipindi cha miaka miwili baada ya kupatikana na kosa la kupokea hongo katika sakata la madawa yalioharamishwa miongoni mwa wanaraidha wa Urusi.

Diack mwenye Umri wa Miaka 87 amepatikana na hatia ya kuchukua hongo kutoka kwa wanaraidha walioshukiwa kutumia madawa yaliharamishwa.

Mwaka wa 2012 inaripoptiwa kuwa alipokea hongo kufadhili kampaini ya urais wa Micky Sall nchini Senegali na uapande wake alifaa kuchelewesha kesi za Urusi.

Viongozi wa mashtaka wameiambia  mahakama kuwa Diack alipokea hongo ya Zaidi ya dollar millioni 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *