“It will end in Marriage” asema mpenzi wa manager wa Bahati.

“It will end in Marriage”  asema mpenzi wa manager wa Bahati.

 Manager wa msaani Bahati, Wweezdom amejipata akiwa gumzo mitandaoni kufuatia ujumbe alioachia mpenzi wake Staceiy kwenye ukurusa wake wa Instagram.

 Staceiy amabye ameakuwa akiachia kwenye mitandao ya kijamii picha za mahab mazito akiwa na Weezdom na kuachia post za kuwasuta  wanaoneka kupinga mahusiano yao.

Kupitia ukurusa wa insta Staceiy alipost picha akiwa na Weezdom na kuandika hivi

“Wale wa it will end in premium tears 😂 it will end in Ruracio, marriage and healthy kids😉 Teras will come from you after missing a plate of food at my wedding.”

Kauli yake ilionekana kuwaudhi baadhi ya mashabiki waliomweleza kuwa mtandao katu hausahau na watamkumbusha ujumbe wakewakati atakapo achana na Weezdom.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *