Daimond na Zuchu wamtoa Povu Tanasha Donna

Tanasha Donna na usimamizi wake ummedai kuwa wimbo mpya wa Zuchu ft Diamond Cheche umetumia baadhi ya mistrai katika wimbo wake Ride aliomshirikisha Khagraph Jones.

Muda mchache baada ya Zuchu na Diamod kauchia wimbo huo youtube, Tanasha posti kiapande cha video akiimba wimbo wake aliomshirkisha khaligraph jones kwenye mtandao wa Instagram na kuandika hivi.

🎼 Yo te quiero tanteee , for your love asante….🎼 🤣👑 One of my fav tracks on #DONNATELLAEP hands down! Back to when RIDE ft @khaligraph_jones was trending #1 on @audiomackafrica without an official release. Good music sells itself, never forced. Enyewe demand on this video imekuwa high… Sijui after #nawewe ni release hii? PLUS , My teddy bear @naseeb.junior has decided he gotta be a part of my video, jamani 🤣😇🧸❤️🥰 (Got this cute t shirt from @fnmbrand )

22h

Mistari ya Tanasha ya YO te quiero Tantee” ndio mistari sawa aliotumia zuchu kwenye introya wimbo wake Cheche.

Baada ya post hio mashabiki wa Tanasha waliana kutupa vijembe wakidai kuwa Zuchu kaiba mstari huu wenye lugha ya kispanyiola kwenye wimbo wake Tansha.

 Vile viel Menaja wake Tansha Jamal Gaddaffi amewasuta Diamond na Zuchu kwa kudai kuwa wanakosa ubunifu.

Aidha Tanasha amesema kuwa takuwa naachiavideo ya wimbo huu hii ni baada ya wimbo huo kutrend katika nafasi ya kwanza kwenye mtandao wa AudiomackAfrica.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *