Membe kupeperusha bendera wa chama cha ACT huko Tanzania

Mshauri Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo Bernard Membe ameidhinishwa kuwa mpeperusha bendera wa chama cha ACT- Wazalendo kuwania urais nchini Tanzania ara katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

Uanachama wa membe katika ACT- Wazalendo ulitangazwa Mwezi Julai na kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe katika mkutano wa wanahabari wadau wengine kutoka ulimwenguni kote.

Mkutano Mkuu wa ACT – Wazalendo pia umemtangaza Ndugu Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia chama hicho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *