Azziad aweka wazi pesa anazolipisha iwapo atachapisha biashara ya mtu au kampuni

Hatua ya TikTok queen Azziad Nasenya kuweka wazi kiasi cha pesa anazolipisha iwapo atapost biashara ya mtu au kampuni katika mitandao ya kijamii ya zua gumzo mitandaoni.

Hatua hio imeashiaraia kuwaazziadanapiga hela ndefu kutokana na umarufu wake katika mitandao ya kijamii kuna washikaji ambao wameonekana kupongeza juhudi zake na wengini wakitilia shaka gharama ya juu anayotoza Azziad.

mfano ni katika mtandao wa Tweeter tweet moja itakugharimu 5ok, tiktok 100k.

kwa sasa kote duniani wako master wanalipisha Zaidi ya shillingi 100 million kwa kila post wanayoachia kwenye ukurasa wao instgaram.

1.Kylie Jenner kwa sasa ndiye anayeongoza kote duniani ambapo anapiga hela ndefu zaid ya millioni 100 kwa kila post ya biashara nayo achia
2. Ariana Grande analipisha karibai shillingi millioni 100 kwa kila post
3.cristiano ronldo analipisha millioni 97 kwa kila post ya biashara anayopost
4. kim Kardashian analipisha million 91- Instagram kwa post moja
5. Selena Gomeza analipisha millioni 90 kwa post moja kwenye ukurasa wake wa instagram

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *