Arsenal na Real Madrid kunufaika zaidi mashabiki watakapo rejea uwanjani

Serikali ya Ungereza imetangaza kuwa itaruhusu mashabiki kurejea uwanjani mwezi October mwaka huu huku wakiendelea kufuata magizo yaaliotolewa na shirika la afya duniani.

 Kwa mjibu wa repoti iliowekwa wazi ni kuwa kati ya mashabiki elfu 1000 -2500 ndio watakao ruhusiwa viwanjani, huku sheria hii mpya ikibatilisha uamuzi wa awali ambao ulikuwa umesema kuwa ni asilimia 30 ya mashabiki katika idadi ya uwanja husika ndio wakakao ruhisiwa viwanjani.

Tangu kuripotiwa kwa ugonjwa wa corona mashabiki hawajaruhusiwa kungia uwanjani, hatua ambayo huenda ikazinyima vilabu vingi kipato kutokana na ununuzi wa tiketi.

Awali Real Madrid ilikuwa club ilikuwa ikijipitia kititakikubwa cha fedha kwa musimu mmoja kutokana na ununuzi wa tiketi za mashabiki wanaikuja kutizama mechi zao.

  1. Real Madrid – €131 million
  2. Arsenal – €131 million
  3. Barcelona – €121 million
  4. Bayern Munich – €109 million
  5. Manchester United – €107 million
  6. Chelsea – €85 million
  7. Liverpool – €76 million
  8. Manchester City – €56 million
  9. Juventus – €48 million
  10. Paris Saint-Germain – €42 million

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *